1/7
Kinga ya Muislamu screenshot 0
Kinga ya Muislamu screenshot 1
Kinga ya Muislamu screenshot 2
Kinga ya Muislamu screenshot 3
Kinga ya Muislamu screenshot 4
Kinga ya Muislamu screenshot 5
Kinga ya Muislamu screenshot 6
Kinga ya Muislamu Icon

Kinga ya Muislamu

Mahmoud Al-Asmi
Trustable Ranking Icon信頼済
1K+ダウンロード
684.5kBサイズ
Android Version Icon1.6+
Androidバージョン
1.0(26-04-2015)最新バージョン
-
(0 レビュー)
Age ratingPEGI-3
ダウンロード
詳細レビューバージョン情報
1/7

Kinga ya Muislamuの説明

 


بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمن الرَّحيم


Kwa Jina La Mwenyezi Mungu Mwingi Wa Rehema (Duniani) Mwenye Kurehemu (Akhera)


 


UTANGULIZI


Hakika sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, tunamsifu, tunamuomba msaada na tunamuomba maghfirah, tunamuomba Atuhifadhi na shari za nafsi zetu, na maovu ya matendo yetu. Anayemuongoza Mwenyezi Mungu hapana wa kumpoteza, na Anayempoteza, hapana wa wa kumuongoza.  Nakiri kwamba, hapana apasaye kuabudiwa ila Mwenyezi Mungu, hali ya kuwa peke Yake, hana mshirika, na ninakiri kwamba Muhammad ni mja Wake na ni Mtume Wake. Mwenyezi Mungu Amrehemu na Awarehemu jamaa zake na Maswahaba zake na wanaowafuata hao kwa wema mpaka siku ya malipo na Amsalimishe kwa amani nyingi.


Baada ya yaliyotangulia huu ni ufupi (Mukhtasar) wa kitabu kiitwacho “HISWN AL-MUSLIM MIN ADHKAAR AL-KITAAB WA SUNNAH”


Ninamuomba Mwenyezi Mungu kwa majina Yake mazuri, na sifa Zake zilizo juu, Ajaaliye kazi hii kuwa, imesafika  lengo lake, kwa kutaka radhi zake Mwenyezi Mungu Mtukufu, na Aninufaishe kwa hayo katika uhai wangu huu, na baada ya kufa, na Amnufaishe atakayekisoma, kukichapisha, au aliyekuwa ni sababu ya kukitawanya, hakika  Yeye  Mwenyezi Mungu Ndiye  Muweza.


Mwenyezi Mungu Amrehemu Mtume wetu Muhammad صلى الله عليه وسلم na Aali zake na Maswahaba wake na wanaowafuata hao, kwa wema mpaka siku ya malipo.</br></br></br></br></br></br></br></br></br>

Kinga ya Muislamu - バージョン 1.0

(26-04-2015)
他のバージョン

まだ、レビューや評価はありません。 して最初のレビューワーになってください。

-
0 Reviews
5
4
3
2
1

Kinga ya Muislamu- APK情報

APKバージョン: 1.0パッケージ: com.kinga.book.AOUTPDNMXEZAAPHOGH
Androidでの対応: 1.6+ (Donut)
開発者:Mahmoud Al-Asmi許可:1
名前: Kinga ya Muislamuサイズ: 684.5 kBダウンロード: 30バージョン : 1.0リリース日: 2020-11-18 03:52:39最小スクリーン: SMALLサポートされたCPU:
パッケージ ID: com.kinga.book.AOUTPDNMXEZAAPHOGHSHA1署名: 3F:26:F0:5D:9C:BA:09:B2:24:1A:08:D5:B3:8B:62:EC:48:70:00:3E開発者 (CN): "Mahmoud OU 組織 (O): 地域 (L): 国 (C): 都道府県/州/市 (ST): パッケージ ID: com.kinga.book.AOUTPDNMXEZAAPHOGHSHA1署名: 3F:26:F0:5D:9C:BA:09:B2:24:1A:08:D5:B3:8B:62:EC:48:70:00:3E開発者 (CN): "Mahmoud OU 組織 (O): 地域 (L): 国 (C): 都道府県/州/市 (ST):

Kinga ya Muislamuの最新バージョン

1.0Trust Icon Versions
26/4/2015
30 ダウンロード684.5 kB サイズ
ダウンロード
appcoins-gift
ボーナスゲームさらに多くの報酬を獲得!
さらに